Kuhusu DRINKiQ

DRINKiQ imeandaliwa na kampuni ya kuuza pombe duniani,Diageo. Imekusudiwa kuongezez badala ya kuchukua nafasi ya misaada mingine inayotolewa na serikali, taasisi zisizo za Kiserikali au mashirika huru. Kusudi lake ni kumpa mtu yeyote, bila kujali hali zao za sasa, ukweli, na msaada na kuwawezesha kufanya uchaguzi sahihi juu ya uhusiano wao na pombe pamoja na unywaji. Kwa njia hii, inaweza kuwa sehemu sahihi au kituo cha kupata msaada au habari mahali pengine.

Kwa habari zaidi juu ya mikakati kama hii, tembelea Diageo.com.