Vinywaji vyote vyenye kilevi vina ethanoli, lakini kiwango kinaweza kutofautiana
Iwe unakunywa bia, waini au pombe kali, vyote vina aina moja ya kilevi inayoitwa ethanol. Hii hutengenezwa wakati matunda au nafaka zinachachwa ili kutoa vinywaji vyenye kilevi Ni ethanoli katika vinywaji hivi ambayo huathiri mhemko wako na athari - na ethanoli inakuathiri kwa njia ile ile, bila kujali aina ya kinywaji unachochagua.
Ni kweli, vinywaji tofauti vina viwango tofauti vya kilevi Hii kwa ujumla huonyeshwa kama asilimia ya kilevi kwa ujazo au ABV. Labda umegundua kuwa chupa na makopo mara nyingi hujumuisha nguvu ya kinywaji kama ABV kwenye alama. Ni ABV ambayo inaweza kukusaidia kufahamu ni kiasi gani cha kilevi kipo kwenye kinywaji chako.
-
Pombe kali zina mkusanyiko mkubwa wa kilevi na nyingi zina karibu 40% ABV. Hata hivyo, gguvu inaweza kutofautiana sana, Baadhi ya vodka zina 30% ya ethanol, wakati bourbons nyinginezinaweza kuwa karibu 60% ABV na pombe kali nyingine zinaweza kuwa na kiwango cha 95% cha kilevi .
-
Vinywaji , ambavyo pia vina pombe kali ndani yake, kwa ujumla huwa na kilevi kidogo na ABV yao inaweza kuwa chini ya 20%.
-
Waini ina kiasi kidogo ukilinganisha na pombe kali kati ya 12 na 15% ABV. Hata hivyo, baadhi yaw aini zinaweza kuwa na kiasi kikubwa cha kilevi kama Port au Sherry ambazo kwa kawaida zina mpaka 20% ABV
-
Kiasi cha kilevi kwenye bia i=ni cha chini san ana bia nyingi zina kilevi kati ya 4 na 10% ABV Baadhi ya bia zianweza kfaninisha na aina Fulani za waini zenye kilevi kinachofikia 12% ABV.